MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini TMDA imefanikiwa kunasa shehena mbili kubwa za dawa na vifaa tiba zisizo sajiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere JNIA Terminal 3. Thamani ya jumla ya mizigo hiyo inakadiriwa kufikia zaidi ya shilingi milioni 360.
Akizungumza na vyombo vya habari leo, Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dkt. Adam Fimbo amesema shehena ya kwanza ilikamatwa tarehe 7 Septemba 2026 wakati wakaguzi wao wakifanya ukaguzi wa kawaida kupitia mfumo wao wa udhibiti.

Comments
Post a Comment